Thomas Video By Usichukulie Poa, Nyumba ni Choo

Thomas video on twitter | Dodoma, Tanzania.

Usichukulie Poa, Nyumba ni Choo ()

Thomas video | Dodoma, Tanzania - Timu ya uhamasishaji ya kampeni ya nyumba ni choo ikishiriki katika mazoezi ya mwili Halmashauri ya Mji Nanyamba. Mazoezi haya yameongozwa na Mkurugezi wa Halmashauri Mhe. Thomas Mwailafu na kuhudhuriwa na afisa afya wa wilaya, pamoja na wananchi. #NyumbaNiChoo #SiriYaUshindi.

Top Video Tweets